Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,923
- 7,066
Umelala ww
Nipo mdogo wangu, nadhani tumepotezana wote.!
Salama, namshukuru MunguNipo mdogo wangu, nadhani tumepotezana wote.!
I hope upo salama hayo ndiyo maombi yangu..!!
Lindo mwisho saaa 11 alfajiriHapana,niko macho. Ndio naingia tena lindoni muda huu. Naipenda sana kazi yangu.
Lindo mwisho saaa 11 alfajiri

Tunaishi maeneo tofauti katika huu uso wa dunia.
Usiniite mkuu,hili neno huwa lina ukakasi,kama kuna kitu unataka kuninyima hivi.
Asante sana mrembo. Upo lakini ?
Ndo utakoma ss![]()
Peke akoNaendelea kutimiza wajibu wangu kama hivi.
HaswaaaPeke ako
PoleHaswaaa
Pole