Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Wanasema masaa yanatofautiana na wengine walipo ssHuu uzi ubadilishwe kichwa cha uzi maana sasa sio usiku wa manane watu wanachati
Wanasema masaa yanatofautiana na wengine walipo ssHuu uzi ubadilishwe kichwa cha uzi maana sasa sio usiku wa manane watu wanachati
Hahaha tunakua kituoni hadi mwishoMnawahi kuja lindo na mnawahi kuondoka
[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188] mapemaaa
Tena wewe mama D leo am watching you hahahahahaHahaha tunakua kituoni hadi mwisho
Nimewahisha daftari la rollcall mkuuMama D unaharibu lindo?[emoji1787][emoji1787]
Wapi hao, unakuta mtu yupo chato anajifanya masaa yanatofautianaWanasema masaa yanatofautiana na wengine walipo ss
Nimewahisha daftari la rollcall mkuu
Hahahaha[emoji38][emoji38] unamalizia siku yangu na cheko mubasharaWapi hao, unakuta mtu yupo chato anajifanya masaa yanatofautiana
Heri ya sikukuu ya noel mama D[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188] mapemaaa
Kwa hapo inawezekana kweli au si kweli wengine wapo nantumbo tu hapo ila wana jimwambafaiWanasema masaa yanatofautiana na wengine walipo ss
Kabla ya kwenda kula tuachie kahawa
Haina noumaKabla ya kwenda kula tuachie kahawa
Nini tatizo kaka mdogo?Nina usiku mrefu na mgumu sana.. kampani yenu walinzi ni muhimu..
What’s dead may never Die