Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Basi naongeza glassNingekuvuta Masikio bahati uko mbali.
Kunywa usiumize mwili ...
Basi naongeza glassNingekuvuta Masikio bahati uko mbali.
Kunywa usiumize mwili ...
Kumbeeee i bet ww ni mreembo kama wa ghana walivyo
Nakunywa hapa sema yabaridi hahahaha dahSina hata chembe moja ya huko isipokuwa Jina... ..
Kunywa maji basi
Basi naongeza glass
Nakunywa hapa sema yabaridi hahahaha dah
Duniani humu humu
Na kweli ss hv najitahidi maji nafkisha glass5 per dayAfadhali...sikukuu hii..madokta adimu .
Usijitafutie maradhi mpendwa
Jua linakozama saa hii ni pande za Us anyway good evening, Merry Christmas
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli ss hv najitahidi maji nafkisha glass5 per day
Hahaha sawa nitajitahidi lita 2 kuanzia kesho notaanza kujaribu zoeziNakupa nyingine 5....
Uzinywe kama dawa ....
Kawaida ulipaswa kunywa lita 2 at least kwa siku