Za leo salama sijui za ww monsieurUmeuzoesha hivyo ndio maana.
Hbr ya leo?
Salama mkuu,Habari zenu ndugu zangu
Sent using my 6x6 bed.
Salama salimini, namshukuru Mungu.Za leo salama sijui za ww monsieur
Zmefikaa habar yakoWalinzi watiifu nawasalimia
Kheri,Salama salimini, namshukuru Mungu.
bbade chaliifrancisco SHIMBA YA BUYENZE wasalimie ukiwaonaHadi wewe umekuja lindoni leo😀😀
Nipo hapa hapa sema nilipangwa section BKheri,
Leo unalinda wapi
Wacha tochiNjoo tusaidiane kusaka kunguni
Wataziona salamu zako.
Kuna watu siwaoni sijui ndio wamechange ID 😎Wataziona salamu zako.
Haya kaz kaz usiibiwe tuNipo hapa hapa sema nilipangwa section B
Tulia utampataKuna mwana mama namtafuta humu.
Mapanga mapya na sime na mishaleHivi walinzi watiifu na wasio sinzia lindoni tunapewa zawadi gani mwisho wa mwaka
hahahahah, kila mahali watu wamepotea.Kuna watu siwaoni sijui ndio wamechange ID 😎