Tayari.Tulia utampata
Tayari.Tulia utampata
Unajitesa tu aiseee
Doh! Noma sana mambo ya mwisho wa mwakahahahahah, kila mahali watu wamepotea.
Itakua ni sherehe za mwisho mwa mwaka pamoja na likizo ....
Haibiwi mtu hapa!!Haya kaz kaz usiibiwe tu
Katika wengi wa enzi zile nakuona wewe na Iceberg9 tu
Salama mkuu,
Kahawa bado ina nguvu naona![]()
Yeah, kwani na wewe hauna haya malikizo ya mwisho wa mwaka?Doh! Noma sana mambo ya mwisho wa mwaka
Daah mkuu
Uliinywa bahati mbaya au ukiwa na akili zako timamu?Gahwa noma sana,leo sidhani kama nitalala
Uzingizi ulikuwa unanizidiaSwadaktaaa,ukapotea mazima mrembo wa kani.
Wacha tochi
Yameshaanza huku uraianiYeah, kwani na wewe hauna haya malikizo ya mwisho wa mwaka?
Uliinywa bahati mbaya au ukiwa na akili zako timamu?
OkyTayari.
Punguza hio kitu unaweza hisi malaria imepanda kumbe kahawaHahaha,kweli mkuu



Ewaaa hapa ss ndo niliposahau kuleta mrejeshoHaibiwi mtu hapa!!
Ulishaonana na ABBA wakakwambia unakwama wapi?
Uzingizi ulikuwa unanizidia