JamiiForums Usiku wa manane
Ha ha haaa hukujua kua kuna uwanja wako huku unapita tu mapopo tunapozana humu at tatizo hufiki ata saa nane
3869.jpg
 
Ha ha haaa hukujua kua kuna uwanja wako huku unapita tu mapopo tunapozana humu at tatizo hufiki ata saa nane
Yaani acha tu. Nakuwa nachoka kwa pilika pilika za mchana,so najitahidi kuwahi kupumzika. Huwezi amini naingiaga kitandani Saa 4ili niwahi kulala,nashtukia nafika mpaka Saa saba nazurula jf
 
Back
Top Bottom