Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,528
- 105,209
Pita hadi ndani mkuu....Ndio kumekucha kumbe...hamjambo jambo huku?
Tupo....

Pita hadi ndani mkuu....Ndio kumekucha kumbe...hamjambo jambo huku?

Kwakua mimi ni muhenga.....
Nasemaga hamnaga makombo...![]()
![]()
bila shaka wivu huna ila roho lazima ikuume!

Naishiaje nje sasa??? I'm in jomoniPita hadi ndani mkuu....
Tupo....![]()
![]()
BawaaaaaaaPOPOOOOOOZZZZZZ!

I miss you moreeInna! I miss u..
Kamlaza shemeji! Sema taratibu usimwamshe

Kweli wivu sina, lakini roho inaniumaga sana....![]()
![]()
bila shaka wivu huna ila roho lazima ikuume!
![]()
![]()
![]()

Karib tena mkuuNaishiaje nje sasa??? I'm in jomoni
Asante,Mi nipo sana. Kila siku humuKarib tena mkuu
Mbona unaingia kwa kubashili kama kamali
BundiiiiiiPOPOOOOOOZZZZZZ!
Hatujambo hofu kwako tuNdio kumekucha kumbe...hamjambo jambo huku?
HahahahahaKamlaza shemeji! Sema taratibu usimwamshe
Nipo captainMtaalamu umekimbia au shem kakubana
Imebaki stori tu ulivyodukua simu ya bebito ukakuta majangasasa mkuu unanicheka badala ya kunipa pole aiseee... hufaiii ,kuu hahaha
Daah kimya kingi kamanda au pilau la iddi unamaliziaNipo captain
Nipo nipo bossKwa hiyo umetuaga kwa kumzuga huyi mkuu au?![]()
![]()