Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Alaa... kumbe ndo maana mnabadilishana kama mashati vile! Huo msemo una ukakasi!Duhh.....![]()
![]()
![]()
Ila poa tu Mkuu, wahenga tunasemaga......
Haina makombo....

Alaa... kumbe ndo maana mnabadilishana kama mashati vile! Huo msemo una ukakasi!Duhh.....![]()
![]()
![]()
Ila poa tu Mkuu, wahenga tunasemaga......
Haina makombo....

Usinicheke kiongozi....na wewe zamu yako ikifika nitakuchekaHahahahaha

Vp mwenzetu mbona twaagana mapema hivi?Usiku mwema mkuu

Kuna mkuu alikuwa anapitaVp mwenzetu mbona twaagana mapema hivi?
Au ndo watusabahi?![]()
![]()
![]()
Basi leo tupo wote shift ntakusaidia kulinda au unasemajeMmmmh! Kilinge kina wenyewe hiki, mi sio mwenyekiti bali ni mlinzi wa zamu getini hapa!![]()
![]()
Daah, acha tu ule ulikua unyanyasaji ukichekewa basi utachezea stiki unaweza taja jina la utoto la bib yako

Kwa hiyo umetuaga kwa kumzuga huyi mkuu au?Kuna mkuu alikuwa anapita

kiroho safi nilimwacha thou roho ilikuwa inaniuma kinouma.... now na mimi natafuna friends zake tu hakuna namna tena... mkuuDuhh.....![]()
![]()
Ila poa tu Mkuu, wahenga tunasemaga......
Haina makombo....
sasa mkuu unanicheka badala ya kunipa pole aiseee... hufaiii ,kuu hahaha
Safi,ila naona kwa kuwa wewe ni mgeni bado una nguvu za kutosha....nikuachie lindo mimi nikalale ntarudi saa 10 alfajiri kufunga geti!Basi leo tupi wote shift ntakusaidia kulinda au unasemaje

Upo vizuri mkuu.....kiroho safi nilimwacha thou roho ilikuwa inaniuma kinouma.... now na mimi natafuna friends zake tu hakuna namna tena... mkuu

Aah me si mgeni sema, sio mhudhuriaji. Mzuri humu sasa kampani ntakosa ndugu yanguSafi,ila naona kwa kuwa wewe ni mgeni bado una nguvu za kutosha....nikuachie lindo mimi nikalale ntarudi saa 10 alfajiri kufunga geti!![]()
![]()
hawa wakina dada pasua kichwa sana.... tamaa zitawamaliza mkuuUpo vizuri mkuu.....
Naweza nika kufananisha na mimi enzi za ujana wangu....![]()
![]()
![]()
Dawa ni kuwanao wa3 kama mimi...hawa wakina dada pasua kichwa sana.... tamaa zitawamaliza mkuu

Mtaalamu umekimbia au shem kakubana
Wakati wewe unajiona mjanja kwa kuwa nao 3.....wao kila mmoja anao 10 pembeni yake wewe ni wa 11Dawa ni kuwanao wa3 kama mimi...![]()
![]()
Ila kama wapo online saivi nitakoma...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hapo ndo unapojua kuwa ujanja kupata na sio kuwahi ....Kwakua mimi ni muhenga.....Wakati wewe unajiona mjanja kwa kuwa nao 3.....wao kila mmoja anao 10 pembeni yake wewe ni wa 11![]()
![]()
![]()
hapo ndo unapojua kuwa ujanja kupata na sio kuwahi ....
