chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Sitaki mie kuifuta lengo ni kulewaKunywa maji ya Kilimanjaro ya baridi, ukimaliza lita 1.5 pombe yote umeifuta.
Sitaki mie kuifuta lengo ni kulewaKunywa maji ya Kilimanjaro ya baridi, ukimaliza lita 1.5 pombe yote umeifuta.
Kabisa, Naona kuna makorokoroni wengi wapya.Sana, hili lindo tunapokea baadae tunarudi.
Sasa hivi utakutana na walinzi waandamizi wapya wengi tu.
Sitaki mie kuifuta lengo ni kulewa
Weekend mtu kama leo tumelala peke yetu... Daaaah..
Wakitokea majambazi ndiyo utajua upo pekee yako lindoniLindoni tupo wangapi?
Endelea kula vyombo nitakuambia baadae mateMmmh mie sijui ndio uniambie mate
Hahahahaha, home kweli nahisi zitafika cret sina hata dalili za kulewaKama unanywea home ruksa, muda ukifika mwenyewe utaegesha.
Hivi kuanzia shingapi nawekwa kwenye fungu la wenye hela?Tafuta hela.
Haya mate ila naona kichwa kama kinazunguka hiviEndelea kula vyombo nitakuambia baadae mate
Dumbukia kwenye pipa mateHaya mate ila naona kichwa kama kinazunguka hivi
Hivi kuanzia shingapi nawekwa kwenye fungu la wenye hela?
Hahahahaha, home kweli nahisi zitafika cret sina hata dalili za kulewa
Hayo yote mbina namudu eti.Hela ni matumizi bro, ukiwa na hela kiasi cha unaweza kumiliki mtu, kumhudumia kwa kila kitu na mambo yako yakawa yanaenda tayari hiyo ni hela.
Na haya malalamiko ya kwamba unalala peke yako yataisha.
Hunitakii mema kabisa mateDumbukia kwenye pipa mate
Ni kutokana na watu uliokuwa nao ila na mimi nikiwepo crate ndogo mbonaSiku hizi nina kichwa fake, zamani ningeweza kumaliza crate ila siku hizi nikifika 10 tu naanza kutafuta maji ya kunywa nidilute.
Hayo yote mbina namudu eti.
Kuna mahali kwingine nakwama.
Wewe una kila dalili za kusinzia weweMpaka kukucheeee
Ni kutokana na watu uliokuwa nao ila na mimi nikiwepo crate ndogo mbona
Ndo maana unakunywa chache,True, siku hizi kampani yangu wengi tuko busy busy. Kiasi hata kunywa kama kundi ni mara chache.