Jack HD
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 851
- 1,169

Aliyekuwepo hapa tipy anyooshe mikono juu
MTC | 101|![]()
Hahahaha, mie basi nakaribia kuondoka na tafuta chimbo sinzaMimi ningenyoosha ila nahisi ntaanguka, sio kwa kuyumba huku.

hahaha, umezidi upopo mzee, vipi unaelekea Lachaaz nini ?Hahahaha, mie basi nakaribia kuondoka na tafuta chimbo sinza
MTC | 101|![]()
Niko lindo napita kote hukohahaha, umezidi upopo mzee, vipi unaelekea Lachaaz nini ?

Tupo kama kawa...
Duh! Nina t-shirt tu hahahaahaUtajionea mwenyewe mm naubishi wangu nikashuka hapo mfindi bila sweat nilieleza mbona nilirudi kuchukua ndio nikatoka nje hapo makambako ndio too much ukungu wakutosha tu hapo.
Nadhani mkuu ........ Ronny2010 kapotea siku hizi amesusa lindoHivi hujukakiribishwa?! Watu wanakisirani hawataki wakeshe pamoja nawe mkuu?! Au waliacha lindo likiwa wazi nini? Ronny2010 wangu hajaibiwa kweli?![]()
Ahsante mkuu! Nawe pia japo mimi siku nzima Leo ntakuwa safarini


Ahsante mkuu! Nawe pia japo mimi siku nzima Leo ntakuwa safarini
Hahaahahahahahah.Mwenyezi Mungu akutangulie katika safari yako.Uwe makini na biscuits za kupewa
Sent using my 6x6 bed.