Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Duh! Kumbe uko vizuriJazaqllah khair
Umetutakia chema na mi nimejibu wema jaman
ni root nzr mm nilienjoy kwakweli kwakuwa sikuwahi fika huko kuona kitonga na vitu kama vvyo labda nikutishe tu hapo mfindi na makambako baridi yake sio mchezo.Nami ni mara yangu ya kwanza pia mkuu. Nimeishiwa morogoro tu
ShukranDuh! Kumbe uko vizuri
Haya. Wa anta kadhaalik

Baridi mpaka ndani ya gari mkuuni root nzr mm nilienjoy kwakweli kwakuwa sikuwahi fika huko kuona kitonga na vitu kama vvyo labda nikutishe tu hapo mfindi na makambako baridi yake sio mchezo.
Kama haulali kaangalie movie ya ''parasite''ni root nzr mm nilienjoy kwakweli kwakuwa sikuwahi fika huko kuona kitonga na vitu kama vvyo labda nikutishe tu hapo mfindi na makambako baridi yake sio mchezo.
Hongera sana😊😊Shukran
Niko vizuri ndio![]()
Ngoja niangalie Trailer kama nitavutiwa nayo ntaangalia lakini plan yangu nilikuwa nataka niangalie series ya Arrow leo.Kama haulali kaangalie movie ya ''parasite''
Series inamiaka 4 sijui yann ss wai inachosha kusubiri kila mara watie moyaNgoja niangalie Trailer kama nitavutiwa nayo ntaangalia lakini plan yangu nilikuwa nataka niangalie series ya Arrow leo.
Season 7 saiz 😂😂 umenipa hiyo parasite haina hata ngumi bhana wachina sijui wa Tai na kazi za magendo tu kufoji mavitu.Series inamiaka 4 sijui yann ss wai inachosha kusubiri kila mara watie moya
Hio parasite ni nzuri sana na rating yake iko vyema
Saa 3:00 soon tu hapo.
Utajionea mwenyewe mm naubishi wangu nikashuka hapo mfindi bila sweat nilieleza mbona nilirudi kuchukua ndio nikatoka nje hapo makambako ndio too much ukungu wakutosha tu hapo.Baridi mpaka ndani ya gari mkuu
Nitarudi kufunga lindo acha niangali movie saiz 🏃🏃🏃
The captureNatafuta series nzuri ambayo ni cerebral kidogo, whats your recommendation?