JamiiForums Usiku wa manane
Naona upepo wa bahati unanielekea......
Kamata hiyo avateri Amigo...
Angalia nisije nikachukua avatar na bahati yako....maana nasikia hiyo avatar ndio inayong'arisha nyota yako hap jf
 
Angalia nisije nikachukua avatar na bahati yako....maana nasikia hiyo avatar ndio inayong'arisha nyota yako hap jf

Kumbe ndiomaana ng'aring'ari haziishi kunijia na kuong'oa bebezzz kama Le Mutuz...
 
Ohhooo....
kuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuu
 
Back
Top Bottom