Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mmh vyote huwa haviendi mapenzi yakiamua kuchanganya ,yanachanganya haswaa
Dawa kubwa ni muda, muda ukifika maumivu yanaisha.
Especially kama akikubaliana na hali
Mmh vyote huwa haviendi mapenzi yakiamua kuchanganya ,yanachanganya haswaa
Kazini ndo naharibu kabisaa,I can't concetrate
Nahisi mimi pia ni pimbi maana hakuna ninachokifanya hapa zaidi ya kujichosha tu!Muda ndo huu walinzi tuungane kwa upendo tulinde
Ila tulindacho hata hakijulikaniView attachment 1284950

Ukinywa maji ehh yes itasaidia sana stress zitakua zinaelea kwenye maji



Ni mawazo gani uko nayo, like nini unawaza?Usingizi haujii
Kweli muda unaongea kila kitu kitakuwa sawa asijali ndo ukubwa huoDawa kubwa ni muda, muda ukifika maumivu yanaisha.
Especially kama akikubaliana na hali
Sure I do,I don't know how to handle this situationUnahitaji therapist.
Unamsaidia unamuongezea stress hahaha
Nahisi mimi pia ni pimbi maana hakuna ninachokifanya hapa zaidi ya kujichosha tu!![]()


Sure I do,I don't know how to handle this situation
Hahahaha Man aloneHaha na rungu au gobole au SMG
UmriHata mimi nateseka nao ujue![]()
Kapotea?Mtafute Ronny2010
Nawaza,will I love/loved again?how long will it take to forget the guy,why he wasted my time,too much going on in my mindNi mawazo gani uko nayo, like nini unawaza?
Pole sana, tumia muda wako mwingi kwa sala/swala/maombi/dua kwa Muumba wako bila kusahau kusoma neno laMungu.Kazini ndo naharibu kabisaa,I can't concetrate
Okay,thanxPole sana, tumia muda wako mwingi kwa sala/swala/maombi/dua kwa Muumba wako bila kusahau kusoma neno laMungu.
Wa kustaafu kwa hiari!Umri
Sure I do,I don't know how to handle this situation