Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,209
- 99,959
Kuna Mbongo hapa tena
Mambo yanaenda, kakaMzima kabisa, I hope uko powa na majukumu.
Kuna Mbongo hapa tena
HahahahhaaMlinzi
Mambo yanaenda, kaka
Hahahahhaa
Nipo Lindo LeoNimekubamba!
What pain you womanI can't sleep,stress,jamanii how to handle break up,am in too much pain
Nipo Lindo Leo
Unamsaidia unamuongezea stress hahahaTuliza mtima...
Lala sana
Watu mnanongwa hahahaKunywa maji mengi.
Dah! Sikukuu majukumu yamenibana balaa, nilikuwa nimepanga niende mkoani kusalimia naona imeshindikana .Sikukuu wapi?

Nipo sikinde karibu..Popoziii...
Hahahaha umeuaMuda ndo huu walinzi tuungane kwa upendo tulinde
Ila tulindacho hata hakijulikaniView attachment 1284950
It works??Kunywa maji mengi.
Dah! Sikukuu majukumu yamenibana balaa, nilikuwa nimepanga niende mkoani kusalimia naona imeshindikana .
Karibu kaka tusherekee pamoja![]()
Usingizi haujiiTuliza mtima...
Lala sana
Sikinde ndio wapii...?Nipo sikinde karibu..
Ukinywa maji ehh yes itasaidia sana stress zitakua zinaelea kwenye majiIt works??