Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
It works??
Yes, inapunguza maumivu na hasira.
From there itabidi kufanya jitihada za kuwekeza kwenye kazi au kitu unachokipenda zaidi.
It works??
Pimbi tunakesha for nothingHahahaha umeua
It works??
Ok poa tuombe uzimaNitakaribia, tutalijadili hili.
Mpaka sasa sijajua ikoje.
Nikutumie picha unione jinsi nilivyo bibi kizee?Hauna uzee wowote!

Shukrani bwana mchina!Pole sana..
Pole plan b ni kukesha nasi tupo hapa kwa ajili yakoUsingizi haujii
Muziki zawadi yako nakuwakilishaSikinde ndio wapii...?
Weee hujui tunawasaidia watu wengi sana, mmoja wapo ni huyo mwenye stress anataka msaada wa harakaPimbi tunakesha for nothing![]()
Eti walinzi shikeni silaha...
HahahahahaUkinywa maji ehh yes itasaidia sana stress zitakua zinaelea kwenye maji
Mmh vyote huwa haviendi mapenzi yakiamua kuchanganya ,yanachanganya haswaaYes, inapunguza maumivu na hasira.
From there itabidi kufanya jitihada za kuwekeza kwenye kazi au kitu unachokipenda zaidi.
Kweli tupo kwaajili yake pole yake jamaniWeee hujui tunawasaidia watu wengi sana, mmoja wapo ni huyo mwenye stress anataka msaada wa haraka
Ukinywa maji ehh yes itasaidia sana stress zitakua zinaelea kwenye maji
Shukuru Mungu angalau wewe unapata hata huo ugali dagaa mi mwenzio siku hizi nashindia maji na kulalia uji usio na sukariAsikwambie mtu maisha kwa upande wangu yamekuwa maguumuuu..ugali dagaa kila siku..View attachment 1284908

Okay,let me tryUkinywa maji ehh yes itasaidia sana stress zitakua zinaelea kwenye maji
Laiti kama mambo yangekuwa rahisi kiasi hiki basi watu wasingeteseka!Tuliza mtima...
Lala sana

Kazini ndo naharibu kabisaa,I can't concetrateYes, inapunguza maumivu na hasira.
From there itabidi kufanya jitihada za kuwekeza kwenye kazi au kitu unachokipenda zaidi.
SafiOkay,let me try