General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Huko mlipo usiku waanza saa ngapi
Hakuna usiku kama una ela
Huko mlipo usiku waanza saa ngapi
Hahahaaa ila kweliHakuna usiku kama una ela
Astelia nimekusubiri ninechoka mm nalala sasa...
Hello guys
Basi silali tena asee...Atanikuta akija,usiwaze.





Hivi treni za sikuhizi bado zinatoa moshi?Unazeeka vibaya wewe...yaani unashindwa kujiongoza utaweza kuongoza hilo gari moshi?
Btw kwanini waliliita gari moshi na sio gari same?![]()
Liliitwa gari Moshi kwa sababu..Unazeeka vibaya wewe...yaani unashindwa kujiongoza utaweza kuongoza hilo gari moshi?😒😒
Btw kwanini waliliita gari moshi na sio gari same?😁

Basi silali tena asee...
Jana na leo wakuu.
Under the Dome
Toka ni some ule uzi sitakaa niamini mwanaume mwenzangu hata kama ni mtoto wa miaka 10Acha woga,unaogopa nitapita naye kimasihara![]()
Unawakilisha lindoni vizuri mkuuTupo mkuu
@ronny2010 Mimi nipo huku wazima kabisa hofu kwakoNdio kwanza nachemsha maharagwe...yakuliwa usiku wa manane.
Ulipotea humu...wazima huko uliko?
Acha uoga vizuri kula na mwenzioBasi silali tena asee...