JamiiForums Usiku wa manane
Kwahiyo nikae mkao wa kupokea kisasi?
Nakukumbusha tu kuwa huu ni mwezi Disemba hivyo badala ya kupoteza muda wako kutafuta namna ya kunilipa hilo tusi, tumia muda huo kuandaa nauli ya kukupeleka kwenu Kishumundu!
Aisee, kweli nimeamini uzee huja na mambo mengi (sio mvi pekee).

Umeshasahau nilikwambia nimepata tenda ya kuwa mwongoza gari moshi linalokwenda Kishumundu tokea siku ya maadhimisho ya UKIMWI duniani?
Tsh. 16,000/= yako tu Kishumundu hii hapa. (Mkuu wa Giningi anastahili pongezi).
 
Unazeeka vibaya wewe...yaani unashindwa kujiongoza utaweza kuongoza hilo gari moshi?😒😒

Btw kwanini waliliita gari moshi na sio gari same?😁
 
Back
Top Bottom