JamiiForums Usiku wa manane
Leo umekula pishi la nani?
Si kwa maneno matam kutoka kwako.

Ila si unajua kinywa changu ni twahara,vipi kisitoea maneno matamu,nisiseme mengi,najua unalijua hilo.

Pishi la mke mkubwa hili,ila nilivyokuwa nakula kwake,akanisihi kwa kuniambia "Niache na nafasi kwa ajili ya pishi lako mke mdogo", nasubiri pishi lako mke mdogo. Si unanijua lakini nilivyo mpole kwako ?
 
Walahi Zurri kaibiwa account leo.

Back
Top Bottom