amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Hapana boss mimi nipo makini sana kukagua lindo
Wa kwanza kulegalega ni wewe
Wa kwanza kulegalega ni wewe
Dahhh.....
Haya ndio madhara ya kukomenti mida ya kuchakata Whatever-Vant
Ona sasa nimekosea tena. Mi nilikuwa nakujibu wewe brotherNaona unajijibu mwenyewe au ndo mambo ya"Whatever Vant? ""
hahahaha, mamaa usiwe na harakaUgeni hadi leo haujafika jamani
Uko wapi tukague wote ,muda huu tukifanya ulinzi shiriki itapendeza sanaHapana boss mimi nipo makini sana kukagua lindo
Na mmeacha lindoOooo naona siku hizi walinzi wanalegalega sana.



niko home
Uko wapi tukague wote ,muda huu tukifanya ulinzi shiriki itapendeza sana
Na mmeacha lindo
SawaUlinzi shirikishi inapendeza zaidiniko home
Ona sasa nimekosea tena. Mi nilikuwa nakujibu wewe brother
Unatembea tembea ,unaacha lindoHapana nlikuwa natembeatembea
HahahahaMkuu umelewa kapumzike, toka lini mimi nkawa brother?
Unatembea tembea ,unaacha lindo
Mambo bebiNafanya doria.
Nakuja tufanye wote doria ,natokea kwa Mama VanessaNafanya doria.
Mambo bebi
Huwezi amini ninajitahidi kukumbuka kwa mama Vanessa ila ramani haikuji, anyway nalala sasa.Nakuja tufanye wote doria ,natokea kwa Mama Vanessa