fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,257
- 3,882
Siku imeisha
Funga lindo...Siku imeisha
Shukrani mkuuVery good analysis, nadhani nimeshawahi kusikia au kuona SMS iliyokuwa inasambaa kuhusu tukio la namna hii Sinza, ilikuwa issue ya murder case.
Mkuu asante kwa kutufumbua macho. Personally nimekuelewa.
Dada yako nimepata kibarua cha night sehemu hapa ndo naingiza natoka saa saba au 8
Wadau mpo?
Hongera kwa kibarua
Alieko Moro-Gairo please nicheki,too bored walahi
Akucheki ili iweje boss?
Naandika nafuta, naandika nafuta walahi...anyways just a company tu mkuu.
Swali lako sio jepesi kama udhaniavyo.Sasa ulikuwa unaaandika na kufuta nini?
Tipoooo
Nani mshindiLeo nina company ya Miss Tanzania
HahahahaNiko hapa kona bar naburudika bhana daaah