Mko wapi ?
Nipo macho ila kusub hapana kwa kweli.
Pole sanaHii kukosa usingizi inaninyima raha


Asante na wewe piaPole sana
Hahahaha, safi sana , 'Mali mtapata shambani'Shambani tunalima
Dada hulali unafanya nini?
Alright listen up!
Vuta picha aliyepost hizi vocha ni jambazi.Alright listen up!
Halahala wale wanaoingiza hizi vocha.
Ukikuta vocha barabarani, au ukitumiwa vocha na usiyemjua, unashauriwa usiingize kwenye simu yako.
Likitokea tukio kubwa la kiuhalifu, polisi huwa wanachukua vitu vingi kama vielelezo. Vocha zilizotumika zikiwemo, hasa kama kuna uwezekano vocha hiyo ikawa connected na kesi (mfano shuhuda aliona mhalifu akiingiza vocha na kupiga simu)
Polisi wataenda kwa mtandap husika ili uwape namba ya simu iliyoingiza vocha hiyo. Namba hiyo itakuwa namba ya simu ya mshukiwa wa tukio.
Usiombe ikawa namba yako ya simu.
Mi nipo nipo sana.
Story zianze tuchekee majirani wakome.
Saa sita bado bhanaBora umekuja
Hawa wanao wahi lindo huwa wanatuyumbisha sana,ila sio kesi,ngoja nijikoki nije kutia nanga.Saa sita bado bhana
Vigezo na mashariti kufuatwa
Sawa mkuu bado dakika 8Hawa wanao wahi lindo huwa wanatuyumbisha sana,ila sio kesi,ngoja nijikoki nije kutia nanga.
Saa sita bado bhana
Vigezo na mashariti kufuatwa