Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,095
Umeshaenda kuchakata papuchi za kona bar nini, maana kimya.
Niko hapa kona bar naburudika bhana daaah
Niko hapa kona bar naburudika bhana daaah
Nani mshindi
Dah kilichobaki hapa nikulewa hadi SAA tatu, wamalize kusali jumuia yao
Hahahaha, safi sanaMsukuma mwenzako
HahahahaAiseee, wenzako wanasali jumuia wewe unalewa unatakiwa uungane nao boss.
Tupo, tumejaa tele kama pishi la mchele!Humu ndani mupoo
Uhali gani bestTupo, tumejaa tele kama pishi la mchele!
Mie bukheri wa afya, hofu kwakoUhali gani best
02:13..niko ndani