Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ok, tutaonana kesho. Wacha mie nijipumzishe. Ulale unonoKesho nitakuepo wananchi nitakua nawaangalia kwenye kideo tu
Ok, tutaonana kesho. Wacha mie nijipumzishe. Ulale unonoKesho nitakuepo wananchi nitakua nawaangalia kwenye kideo tu
Njozi njemaOk, tutaonana kesho. Wacha mie nijipumzishe. Ulale unono
Thad mambo vipi? Mzima weweOk, tutaonana kesho. Wacha mie nijipumzishe. Ulale unono
PopooooooooooooziiiiiiiSema popo mkubwa![]()
Leo nimeona nije humu kuchungulia baada ya kukosa usingizi
Yaani mimi sijatajwa daah
Miye sijambo. Kumbe ulishabadili ID? Mi nakazana kutafuta lile tabasamu kumbe halipo dah! Why?Nipo best, za miaka ni njema sana. Hofu kwako!
Xnsvsgwhdjejeiwuey36627itorojznabaggzxhndnsbananddsjaans?Popooooooooooooziiiiiii





Tupo. Ungali lindoni au ushakimbia kwenda kwenye majukumu mengine?
NipoTupo. Ungali lindoni au ushakimbia kwenda kwenye majukumu mengine?
Dada angu jamani me.nilihisi utakuwa umelalaYaani mimi sijatajwa daah
Nipo
Hahahahaha nimecheka upo mpenziXnsvsgwhdjejeiwuey36627itorojznabaggzxhndnsbananddsjaans?![]()