Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Amkia basi
Amkia basi
Amkia basi
bado mapema sana rafikiLala!
Nikupige shikamoo au unataka salamu gani?Amkia basi
Shikamoo of courseNikupige shikamoo au unataka salamu gani?
Sema popo mkubwaPopooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

Bado upoooo?!Nakutafuta. Leo nipo laivu...
Mpaka asubuhi
Nipo best, za miaka ni njema sana. Hofu kwako!Upo? Za miaka?
Waoo...si kwa kupotea hukoNipo best, za miaka ni njema sana. Hofu kwako!
Nipo rafiki, majuzi nilipita kule kijiweni kwetu sikuwakuta nyie watu wangu nikaamua kuondoka zangu.Waoo...si kwa kupotea huko
Unaelekea pande za taifa?Napita
Niliona like yako kwa mbaali...ila nipo kule bado sijapatupaNipo rafiki, majuzi nilipita kule kijiweni kwetu sikuwakuta nyie watu wangu nikaamua kuondoka zangu.
Kesho mchana nitakuja tulisongeshe au utaungana na wananchi taifa?Niliona like yako kwa mbaali...ila nipo kule bado sijapatupa

Kesho nitakuepo wananchi nitakua nawaangalia kwenye kideo tuKesho mchana nitakuja tulisongeshe au utaungana na wananchi taifa?![]()