Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Mimi piaNiko poa. .wengine watakua poa pia..vipi huko kwenu
Mimi piaNiko poa. .wengine watakua poa pia..vipi huko kwenu
Hivi zuri uliwaza nini ukajiita zuri
Daah kumbe huku sio
Wala hata hujakosea sheikh wanguSio kabisa,huono kuna kirasa chache ajabu.
Ila sio mbaya,sisi tunatimiza wajibu na popote kambi au nakosea bibie ?
Nimegundua nyuzi zipo mbili kumbeUle uzi mkongwe wa "Usiku wa manane" upo au ndio mwenda zake?
Safi kabisa.Wala hata hujakosea sheikh wangu
Ahhh maelezo mazuri kama jina lenyewe Zurri hope nawe ni kazuri are you KeSwali zuri,sio "Zuri" ni "Zurri" asili ya jina hili ni "Zurr'a ar-Razi" nikalifupisha na kuwa "Zurri" kwa kubadilisha umbile la jina na kuwa rahisi kusomeka kwa wepesi.
Ni jina la mwanachuoni mkubwa saa miongoni mwa wanachuoni ninao wakubali. Kwa ufupi sana iko hivyo.
Swali zuri,sio "Zuri" ni "Zurri" asili ya jina hili ni "Zurr'a ar-Razi" nikalifupisha na kuwa "Zurri" kwa kubadilisha umbile la jina na kuwa rahisi kusomeka kwa wepesi.
Ni jina la mwanachuoni mkubwa saa miongoni mwa wanachuoni ninao wakubali. Kwa ufupi sana iko hivyo.
Wakiona watakwambia.Ahhh maelezo mazuri kama jina lenyewe Zurri hope nawe ni kazuri tu hakuna namna
Tuendelee......!Aiseee
Sasa tunalinda lindo lipi maana mnatuchanganya walinzi
Tuendelee......!
ZipiKumbe kuna nyuzi mbili