Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Shangazi wa nani?Shangazi mambo?![]()
Shangazi yake yeye , nahisi mi ntakuwa mjomba wakeShangazi wa nani?
Jesus is my saviour and a friend

Sie wazima,wewe je?
Tupo tumejaa tele
Basi vizuri,leo utalinda uzi wetu huu mpaka saa 9 za usiku,ndio utapokelewa lindo

Hahahhaha acha akuje ajibu mwenyewe bhana mbona unamsaidia?Shangazi yake yeye , nahisi mi ntakuwa mjomba wake![]()
![]()
Hakuna shaka kabisa uzi utakuwa salama,labda waje na mabomu kama wale waliovamia office ya WakiliBasi vizuri,leo utalinda uzi wetu huu mpaka saa 9 za usiku,ndio utapokelewa lindo![]()
![]()
![]()