Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Haya
Haya
Upo mkuu Ushimen.Duhh....
Vipi kwema humuNyagei, Inna, Ivuga, Kisu cha ngariba.
NimekuhamuNapita tu nikirudi nitakuja na jibu lako![]()
Jesus is my saviour and a friend
jakitoo upo salama kweli
Hebu lete na picha nasi tuoneNiko geita nimeingia night club jaman wasukuma ni washamba sijapataona, kitu kilicho mbele ya macho yangu Mungu ndo anajua!
Usiku ni mwendo wa romantic emoji sio war emoji
+1
Batman
achana nao fanya mambo mengine!Kweli kila mtu anaishi kama anavotaka me nalala naona usingiz umenikamata,
Salama kabisa mkuu nyageijakitoo upo salama kweli