Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Karibu sana
Hujambo binti?
Karibu sana
Karibu na ww
Hujambo binti?
Binti sijambo, za kwako Kaka?
Nzuri kabisa, siku hizi lindo gumu sana.
Mkuu inabidi tupangiane shift
ha ha ha wengi wako kiwandani sasa hivi,wanafyatua wat....Lindoni kuna nani nchi hii italindwa na sisi wenyewe
ha ha ha wengi wako kiwandani sasa hivi,wanafyatua wat....
ha ha ha hawataki lindo tenaKiwandani Du
Lindo la kujifunika kwa ngumi na hii baridi ni hatari
Uzalendo mkuu kulindaLindo la kujifunika kwa ngumi na hii baridi ni hatari
kazi ya ulinzi si mchezo, ni zaidi ya witoUzalendo mkuu kulinda