naomba nyimbo moja tu ndani ya playlist yako...unayoipenda sana,Bila shaka unaweza kuniomba @Mr Miller
Haha Only you by Walter Chilambonaomba nyimbo moja tu ndani ya playlist yako...unayoipenda sana,
asanteHaha Only you by Walter Chilambo
You are welcomeasante
Huku kwetu saizi mda wa lunch au tunaruhusiwa kuwepo hapa mda huu?Kiongozi chaliifrancisco sio mimi, huyo ndio anatakiwa atupe maelezo kwanza ye mwenyewe mtoro
Kikao cha dharula captainHuku kwetu saizi mda wa lunch au tunaruhusiwa kuwepo hapa mda huu?
Nipo hapa. Leo mpaka nitoboe ozoneJamani watu ndo mshalala hivyo
Tupo mkuu, ila manati yangu ya kizungu sijui nimetupa wapi nikishangilia ushindi wa LiverpoolWalinzi mmeshiba pilau ya gwajima mnasahau lindo