JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haha yaani tumeshapiga stori ndio unakumbuka kunisalimia [emoji3][emoji3][emoji3] nimekataa
tulikua tunaongea kuhusu majukumu ya kazi kwanza [emoji3]
haijawahi kukukuta unaingia ofisini mnaanza kuwekana sawa mambo ya kazi kama yalienda vibaya....mkimaliza ndio mnatabasamu na kusalimiana sasa [emoji28][emoji28]

naomba ukubali salamu yangu tafadhali...
 
Haha wacha tu nikubali, mimi sijambo kabisa wewe je?

Back
Top Bottom