Thomas andrew
Senior Member
- Feb 4, 2013
- 150
- 45
Mabos hawatulipi mishahara kwa muda. Hadi tarehe 45 inauma. Tutapigiwa wake zetuLindo limekosa watu,nadhani mmeamua kuweka mgomo baridi
Mimi pia sijambo aiseeDah...mie niko poa tu. Sijui wewe..
Sent using Beretta ARX 160
Dah...safi sana..Leo nitakuwa na bahati kubwa..Mimi pia sijambo aisee

Ha ha ha haMabos hawatulipi mishahara kwa muda. Hadi tarehe 45 inauma. Tutapigiwa wake zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tunajaribu kuimarisha silaha tuingie lindoniNipo .....!
Bado tunajaribu kuimarisha silaha tuingie lindoni
ha ha ha ha haHapa ndio napiga la kuchumpa langu guu la kushoto kisha namalizia guu la kuumeni.

Safi asee