kinundu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,028
- 2,168
Kwahiyo nishauri nikaambiaje maana nahisi katanivunjia heshima haka kabintiha ha ha itabidi uwe mlinzi wa kudumu...kwa sababu nyumba umeshaimwagia petrol na muda wowote inaweza kupata moto na kukosa pa kulala
Sent using Jamii Forums mobile app