Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,822
kapumzika
kapumzika
Niko poa kabisahaujambo lkn wewe?
safiNiko poa kabisa
Dah...unaenda kufanya nini chief? Hatuwezi kukupa baraka hadi tujuePeople siku inaanza tena, nawatakie kila lililo heri.
Niwaombe kila mmoja kwa imani yake anipe baraka zake na aniombee ninachoenda kufanya kwa siku hizi mbili kiwe na matokeo chanya.
All love.




Usijali tupo pamoja Don ila uje utupe mrejeshoPeople siku inaanza tena, nawatakie kila lililo heri.
Niwaombe kila mmoja kwa imani yake anipe baraka zake na aniombee ninachoenda kufanya kwa siku hizi mbili kiwe na matokeo chanya.
All love.
Usijali tupo pamoja Don ila uje utupe mrejesho
Naona askari wamekimbia lindo...
ha ha ha ha watakuwa hawajiaminiWapo wanachungulia madirishani. ...
Leta maneno, askari wasisinzie, hata ghahawa tuu..Wapo wanachungulia madirishani. ...
ha ha ha itabidi uwe mlinzi wa kudumu...kwa sababu nyumba umeshaimwagia petrol na muda wowote inaweza kupata moto na kukosa pa kulalaNimekaita kabinti kanako kaa hapa kwa baba mwenye nyumba kaje nikashindue kamenizibia vioo kamesema koma! Hapa nawaza sijui katasema kwa mshua wake ama mother maana hapa nimepata hifadhi kwa muda na nyege time niandama..
Hako kabinti hakasomi shule kalikataa na si ndugu ka huyo mshua ila anaishi nako tuu nikaona ndio Chance sijui nifanyeje wadau...
Huu uzi nimeusubiri kwa hamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta maneno, askari wasisinzie, hata ghahawa tuu..
Sent using simu mbovu