xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,709
Kama naweza kukipata hakuna shida mkuu.Mkuu afadhali nimekuona, kuna kitabu nakitafuta, nikupe title unisaidie.



Ngoja niingie maktaba. Nitaleta mrejesho.Kinaitwa "The Science of Black Hair", mwandishi ni Audrey Davis.
Kikikosekana hakuna shida, nimetumwa muda ila nimeshindwa kukipata.
Ngoja niingie maktaba. Nitaleta mrejesho.
Hakipo kwenye maktaba yangu kamanda. Sorry.Kinaitwa "The Science of Black Hair", mwandishi ni Audrey Davis.
Kikikosekana hakuna shida, nimetumwa muda ila nimeshindwa kukipata.
Hakipo kwenye maktaba yangu kamanda. Sorry.
Yeah. Itabidi Amazon wakutoe pesa aisee...Haya mkuu, hapo Amazon anahusika.
Maana sikipati kabisa kokote.
Umetumwa na binti ama?
Umenipita hapo kwenye kona japo nimekuita sanaNimerudi na kutia nanga sasa.
Umepona mkuu. NimekipataHaya mkuu, hapo Amazon anahusika.
Maana sikipati kabisa kokote.



😁😁😁 woti a pozi