Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Umepona mkuu. Nimekipata [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1051673
View attachment 1051674
Jamaa ubarikiwe aisee.
Umepona mkuu. Nimekipata [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1051673
View attachment 1051674
Ukishindwa kudownload kwa simu jaribu kutumia kompyuta. Ni pdf (17MB)...Umepona mkuu. Nimekipata [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1051673
View attachment 1051674
Umeweza kukishusha?Jamaa ubarikiwe aisee.
Umeweza kukishusha?
Basi powa kabisa aisee...Tayari mkuu, fasta tu kimekubali.
Basi powa kabisa aisee...
No problem man. Nina maktaba inakaribia 900 GB ya vitabu. Kukosa humo aisee huwa nadra sana. Jamaa mmoja aliniazima kisoftware fulani hivi kikanikusanyia vitabu vya kila aina. Ukiwa na ishu tena we nitonye tu kamanda...Yaani nilikuwa muda sana nakusubiri siku nikikuona humu nikuulize kama naweza kukipata.
Maana kuna thread ya vitabu niliona umesaidia kupata vitabu kadhaa kwa members, thanks man.
No problem man. Nina maktaba inakaribia 900 GB ya vitabu. Kukosa humo aisee huwa nadra sana. Jamaa mmoja aliniazima kisoftware fulani hivi kikanikusanyia vitabu vya kila aina. Ukiwa na ishu tena we nitonye tu kamanda...
Naona pozi la kizeee