karibu kwenye ubundiNa mimi nipo hapa
Pia unaweza ku-download kwa kutumia pdfdriveSHIMBA YA BUYENZE Mimi ninatafuta kitabu cha THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT cha Sydney Sheldon,,,,,,, naomba kama unacho mkuu.
Chief fanya kukidondosha The Vengeance, kama kipo tafadhali..No problem man. Nina maktaba inakaribia 900 GB ya vitabu. Kukosa humo aisee huwa nadra sana. Jamaa mmoja aliniazima kisoftware fulani hivi kikanikusanyia vitabu vya kila aina. Ukiwa na ishu tena we nitonye tu kamanda...
Hicho hapo kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE Mimi ninatafuta kitabu cha THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT cha Sydney Sheldon,,,,,,, naomba kama unacho mkuu.
Kimeandikwa na nani?Chief fanya kukidondosha The Vengeance, kama kipo tafadhali..
Heshima yako bro.Kimeandikwa na nani?
Noted.No problem man. Nina maktaba inakaribia 900 GB ya vitabu. Kukosa humo aisee huwa nadra sana. Jamaa mmoja aliniazima kisoftware fulani hivi kikanikusanyia vitabu vya kila aina. Ukiwa na ishu tena we nitonye tu kamanda...
Oooh Asante sana bro. Heshima yako na wewe. Nilikuwa chimbo ndiyo narudi rudi hivi. Kesho au keshokutwa nitafika home katika uzi wetu japo leo nilipita huko kidogo.Heshima yako bro.
George JonasKimeandikwa na nani?
Ok bro.Oooh Asante sana bro. Heshima yako na wewe. Nilikuwa chimbo ndiyo narudi rudi hivi. Kesho au keshokutwa nitafika home katika uzi wetu japo leo nilipita huko kidogo.
Kimegoma kufunguka mkuu...nikifungua naambiwa "the document cannot be opened because it is corrupted or damaged "Hicho hapo kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1051708
View attachment 1051710
Jaribu kutumia kompyuta simu ikigoma. Nitakuwekea kopi aina nyingine. Hiyo ya kugoma kufunguka huwa inatokea na kubadilisha device wakati mwingine huwa inasaidia.Kimegoma kufunguka mkuu...nikifungua naambiwa "the document cannot be opened because it is corrupted or damaged "
Sawa mkuu nitajaribu kwenye computerJaribu kutumia kompyuta simu ikigoma. Nitakuwekea kopi aina nyingine. Hiyo ya kugoma kufunguka huwa inatokea na kubadilisha device wakati mwingine huwa inasaidia.