Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
The Don himself
Nimewaona kuna thread nikasoma kimoyo moyo. Ile ya wanaowapenda vs mnaowapenda.
The Don himself
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Magodoro huwa hatufui, ndio mmetoka leo kolomije nini?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji14][emoji14]Teh Teh godoro linafuliwa? ??
Nani kikojozi?
Jioni njema
[emoji16][emoji16][emoji16] ulitakiwa umpe semina kwanzaacha tu yani, huyu mwenzangu sijui ndio kashuka leo na gari moshi....nimekuta kaloweka godoro mchana, ikabidi nimsaidie tu kulianika, bado linavuja maji huko nje....[emoji134][emoji134]
Umeandika 'utanipea' nikamkumbuka yule mdogo wake Mkenya.
Kakimbia jukwaa, simuoni.
Nimewaona kuna thread nikasoma kimoyo moyo. Ile ya wanaowapenda vs mnaowapenda.
ngoja likauke kwanza[emoji16][emoji16][emoji16] ulitakiwa umpe semina kwanza
Shule imebana. ....
Za mida Don?
Wewe hapa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji14][emoji14]
Niitoe wapi [emoji16]
Hahaha yaani wewe
Tuma hela nikununulieDukani siwezi pata?
Kunguni tu. ...
Nakaribia kurudi bongoland nije nikushikie lindo ukasalimie kwa babu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtoto wa bibi...I'll do thatUnipitie turudi wote tukamsalimie Babu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo wanaume huwa mnapenda kutumia nguvu kwenye kila kitu. Nguvu ya hoja ikiwashinda mnakuja na hoja ya nguvuHahaha, ile thread nimeipenda. Maana watu wameweka hoja sana.