JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23] ndivyo mlivyo hata ndani ukishindwa hoja utasikia hivi kati ya mimi na wewe nani mwanaume humu ndani. Hoja ijibiwe kwa hoja mambo ya kutishana yanakujaje tena

Hiyo sentence siyo ya kwangu kabisa, sisi tumekuwa na mdingi anatuambia kujitetea, kuelezea, kufafanua.

Hakuna hiyo lugha, nikiona una point tunaifanyia kazi, ila lazima uielezee kweli.
 
Back
Top Bottom