Nakutafuta sana.
Nakutafuta sana.
hakuja,mtume tena mwambie aache kufanya hiyana,asije akakufanya ukakosa mambo mazuri.
Ngoja nimkumbushe ila sasa hivi atakuwa amelala, akija kesho si atakuwa hajachelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana aisee sijapuuzia kabisa itakuwa labda alikwama mahali au kasahau...sijui nitafute mwingineSio mbaya,ila tumi wako anaonekana si mpambanaji kabisa au wewe muhusika mkuu utakuwa unapuuzia wito.
Ila sio kesi,acha nisubiri nione.
Hapana aisee sijapuuzia kabisa itakuwa labda alikwama mahali au kasahau...sijui nitafute mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee itabidi nije mwenyewe nichukue kama ndio hivyoTafuta mwingine ila ukizingua tena safari hii itabidi nikuombe wewe mwenyewe uje uchukue ujumbe wako,tena ukija wewe mwenyewe ndio itakuwa na uzito zaidi.
Sawa boss itabidi nifanye nijeYaani utakuwa umefanya jambo la msingi sana,mimi mlango wangu huwa sifungi hata sasa hivi unaweza kuingia tu.
Your welcome ...!
You're welcome ....!
Au nije tu kesho maana nina usingizi ujumbe huo nitauelewa kweli?Nimekaa hapa nakusubiri kwa hamu sana.
Au nije tu kesho maana nina usingizi ujumbe huo nitauelewa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app