Kuhusu kuelewa utaelewa tu kwani ni mfupi sana na kwa maneno malaini mno.
Nakusubiri.
Jamani we niachie tu ujumbe sitafunga mlango leoUnajua leo siku ya ngapi nakusotea ? Legeza moyo huo bibie ....!
Unakaribishwa sana, ila ngoja wajumbe waje kupitisha shauri lako.
Mlango sijafungaFanya kufungua basi mlango wako ili mimi nijilete mwenyewe.
ngoja nisikilizie CorumUnakaribishwa sana, ila ngoja wajumbe waje kupitisha shauri lako.
Upande wangu sina pingamizi.
Sent using Jamii Forums mobile app