Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,804
Bambi bambi
Kwema Kaka?
Bambi bambi
Acha tu,kapoteza kwa mara ya kwanza,,na hk kilikuwa kipimo chake leo,,hakuwa amekutana na timu kubwa kubwa tuone mbinu zake kimchezo zaid ya wale SparsDuhh ...kwahiyo solkijier nayeye kaonja machungu Leo...jamaa si walikuwa na majeruhi wengi tu wale
Haha novel ya Nigerian nimesoma ni ya Chinua achebe pekee,na.siezi try kusoma ingine,si kwa ubaya but we dont like nigerians and anything nigerian ama west african kinda,hata afadhali nisome kitabu ya Mtanzania ama zanzibarLooks like you got it, ni kutoka kwenye novel ya Elechi Amadi, The Great Ponds. It's Nigerian.
Kwema Kaka?
okay,nimeanza,Niaje?Aki nikatie mimi
Kwema dada yangu??
okay,nimeanza,Niaje?
Haha novel ya Nigerian nimesoma ni ya Chinua achebe pekee,na.siezi try kusoma ingine,si kwa ubaya but we dont like nigerians and anything nigerian ama west african kinda,hata afadhali nisome kitabu ya Mtanzania ama zanzibar
man imagine na squad ya man u ilikuwa fresh na je ka neymar angekuwa hahah,mumeponea mungefanywa ka chealsea janaMbili bila mzee,,tumepigwa kama tumesimama vile hahah
haha hizo sijaisoma za kina ngugi but ni poa si novels mbaya,but mi na nigerians hapana hawa watu hatuwataki huku,wana madharau sanaHahaha, safi sana.
Mimi Kenyan novel ndiyo sisomagi, hata zile za shule tulikuwa tunatakiwa kusoma za kina Ngugi mimi sikusoma
man imagine na squad ya man u ilikuwa fresh na je ka neymar hakuwa hahah,mumeponea mungefanywa ka chealsea jana
Haha ,a we seriously doing this!umetoka side gani ya Tz?Fresh tu
haha hizo sijaisoma za kina ngugi but ni poa ni novels mbaya,but mi na nigerians hapana hawa watu hatuwataki huku,wana madharau sana
hahahah mmmh watu wa Arsenal na liverpool tulikuwa nyuma ya PSGHahah utakuwa asernal fan ww
Hahaha nilijua,,game ilikuwa poa,ni vile PSG wamepata chances na wametumia vyemahahahah mmmh watu wa Arsenal na liverpool tulikuwa nyuma ya PSG
Eeeh si huku haiezi fanyika ,si tulisoma vitabu setbooks zetu zenye.tulisoma zilikuwa written by kenyans na mbili written by whites but nigerians,waende kwao wajiweke vidole,we cant read anything nigerian,umesoma kidagaa kimemwozea ama the river between?their both kenyanKuna Nigerian Novels nyingi kwenye syllabus ya Literature tunatakiwa kusoma huku kwetu, few Kenyans as well.
Ndiyo maana unakuta watu wengi wamesoma Nigerians
mbna.ukajiita bbade? did you mean bbw kinda bodyNakaa kwa huku Njombe
Yeah ni kweli ....lakini wale jamaa ni team kubwa na wamejipanga muda mrefu.... Tofauti na nyinyi ambao mnapitia Maputo ya kuwa na coacher mpya ...nikisema kuwa ndio mmeanza kujipanga sinto kuwa nakoseaAcha tu,kapoteza kwa mara ya kwanza,,na hk kilikuwa kipimo chake leo,,hakuwa amekutana na timu kubwa kubwa tuone mbinu zake kimchezo zaid ya wale Spars