Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
Ok poa, usiiache asali.aah wapi ila sio kama jana lkn
Ok poa, usiiache asali.aah wapi ila sio kama jana lkn
imenisaidia sana leo nmepewa ilochanganywa na malimaoOk poa, usiiache asali.
Hii tiba nimeisave.Nitaitumia itakapobidi.imenisaidia sana leo nmepewa ilochanganywa na malimao
Wewe unasherehesha hadi saivi?😀😀😀
nzuri af pia asali muhimu tuu inatakiwa iwepo tuu nyumbaniHii tiba nimeisave.Nitaitumia itakapobidi.
Gahawa itanifanya nitoboe.
Sure, asali ni ya muhimu sana.Ina matumizi mengi, hata mtu akiungua mfano anapomwagikiwa na maji ya moto inashauriwa kumpaka asali ili ngozi isinyauke.nzuri af pia asali muhimu tuu inatakiwa iwepo tuu nyumbani