JamiiForums Usiku wa manane
Hahaha,ukubwa si hoja.

Hivi utafanyaje ikatokea unakimbizwa na mnyama mkali,halafu mbele yako unakuta nyumba na ndio hiyo hiyo nyumba unahisi usalama wako upo. Lakini ajabu unafungua mlango umengwa. Utajisikiaje ?
Unamaanisha umefungwa? Si naupiga teke nazama ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshapiga teke na teke tena lakini wapi. Je unafikiriaje kama ungekuwa wazi ? Bila shaka yule mwenye shida ungekuwa umemsaidia pa kubwa sana....!

Najua umeelewa nini maanisha na wewe ni mtu mzima na una kifua pia.
Hahaha basi itabidi niombe tu Mungu aliyeko ndani afungue kabla simba hajanirarua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom