the_forum
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 774
- 1,004
leo nimejipangaHuwa unakimbia![]()
Lindo mkuu.
Haya haya haya ,likizo imeisha sasa tumerudi kazini
Mlinzi mwandamizi nakagua lindo
Sent using Jamii Forums mobile app


hii zaga ilinisababishaga kuchelewa home,,,
Hii game ilinishinda nili give up tokea zamani sana.
Nakubali tu juhudi mkuu!? Vipi huko kwema? Naona saivi mna mkulu mpya!
zamani wakati naliona kwa watu nilivutiwa nalo lakini siku nime download, nilijuta kuchezea mbs zanguHij game ilinishinda nili give up tokea zamani sana.
PS my favourite
Nakubali tu juhudi mkuu!? Vipi huko kwema? Naona saivi mna mkulu mpya!
aiseeee alafu nayachukia magemhii zaga ilinisababishaga kuchelewa home,,,
fimbo nilizochezea si za nchi hii😀....
Hahaha kuna watu wanacheza tokea tupo primary mpaka saivi tushamaliza na vyuo bado wanacheza GTAzamani wakati naliona kwa watu nilivutiwa nalo lakini siku nime download, nilijuta kuchezea mbs zangu
HahahaView attachment 1010047tatizo tuko single
Hongereni sana. Vipi kuna ukweli wowote kuhusu tetesi kuwa tokeo lilikua rigged?Hahahaha, kwema Kabisa, tumempa kijana majukumu ya kuongoza nchi kdg
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha,tuyaache hayoHongereni sana. Vipi kuna ukweli wowote kuhusu tetesi kuwa tokeo lilikua rigged?