Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Walinzi mupo au mida bado?
┌( ͝° ͜ʖ͡°)=ε/̵͇̿̿/’̿’̿ ̿ roger that▄︻̷̿┻̿═━一
Nshachukua muzberg yangu [emoji23]
Duh mbona mkia mrefu kuliko mwili
ndio mida yetu hiiWalinzi mupo au mida bado?
Unaweza ukakimbia lindo mkuu[emoji23][emoji23]pale unapompiga kanjibai pesa ndefu kwa jero....
.![]()
tena kwa kuringa😀
Usishangilie tu pitisha ofa ya vikombe vya gahawa kwa walinzi wenzio [emoji23]pale unapompiga kanjibai pesa ndefu kwa jero....
.![]()
[emoji23][emoji23]watano yupo sebuleni😛😀
hahaha mkuu hiyo ni changamsha genge,jana chelsea na liver walivofanya du!😕😕Usishangilie tu pitisha ofa ya vikombe vya gahawa kwa walinzi wenzio [emoji23]
Hebu chemsha bongoView attachment 1010032
Hivi au?[emoji23][emoji23][emoji23]hahaha mkuu hiyo ni changamsha genge,jana chelsea na liver walivofanya du!😕😕
Huwa unakimbia [emoji38]
haha,,anacheza karata na wa 3.😀[emoji23][emoji23]
Swali haliulizi yupo wapi bali anafanya nini!
Mimi mwenyewe sijui jibu ila nahisi ndio hilo.
Umecopy kwa mwenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]haha,,anacheza karata na wa 3.😀