Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,262
Acha ukali kama umekula pilipiliMkeshe wap?
Acha ukali kama umekula pilipiliMkeshe wap?
Niaje mzee mwenzanguAcha ukali kama umekula pilipili
Tupo aiseeShwari naona leo mnalega lega
Mimi nilikua kwenye soka naona mmeshindwa ku mobilize lindoTupo aisee
Captain ukichelewa wew nani mwingine atagawa lindoMimi nilikua kwenye soka naona mmeshindwa ku mobilize lindo
Wapo viongozi wengine kama bbade sijamwona leo
Safari njema mkuuNipo kwenye treni kuelekea hotelini asubuhi kwa neema za mwenyezi mungu nichukue usafiri na kwa baraka zake siku inayofuata jioni ntamumua hewa ya A Town.
Amen.Safari njema mkuu
Shukrani Mkuu.... Naona Leo mambo sio mambo,raia zimedakwa na UsingiziKaribu,pita viatu usijali
Shukrani Mkuu.... Naona Leo mambo sio mambo,raia zimedakwa na Usingizi
Ufike salamaNipo kwenye treni kuelekea hotelini asubuhi kwa neema za mwenyezi mungu nichukue usafiri na kwa baraka zake siku inayofuata jioni ntamumua hewa ya A Town.
Shukrani Mkuu