Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,576
- 81,440
Kwema tu asee man. Sio captain wala nini sina cheo hapa mwenyewe mgeni.😂😂
Kwema tu asee man. Sio captain wala nini sina cheo hapa mwenyewe mgeni.😂😂
kweli boss hakosei, umenikumbusha mbali kidogo japo sio kwa mazuri ila nimefurahi kuwa ni past 🤣🤣🤣😂😂Waungwana boss wangu bbade ameni amuru niage tukalale. Na mimi natii amri bila shuruti. Si mnajua boss huwa hakosei.
Ila nimesha jua siri ya mchezo, kuanzia leo nakupa unahodha wa kilinge hiki maana HB wa kigogo ulishamshinda Beberu Mwitu nahisi kaoa sijui yupo fungate basi nakupa weweKwema tu asee man. Sio captain wala nini sina cheo hapa mwenyewe mgeni.[emoji23][emoji23]
Tena kaiweka kabisa manually ili tuone kuwa ana iPhone. Mi natumia TECNO kweli nimwongezee mafuta mtu mwenye iPhone? Ngumu kumeza [emoji16][emoji16][emoji16]Mlinzi mwenzangu unagumia aifoni alafu huna bundle. Uza nunua tecno change weka bundle la mwaka [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Tena kaiweka kabisa manually ili tuone kuwa ana iPhone. Mi natumia TECNO kweli nimwongezee mafuta mtu mwenye iPhone? Ngumu kumeza [emoji16][emoji16][emoji16]
Jikakamue tu udandie mazungumzo hata kama hayakuhusu. Ukisubiri kukaribishwa utakesha [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee walinzi wapya tunatengwa hatari
Sent from my iPhone using JamiiForums
hahaha mjumbe kama unaweza kumsaidia msaidie mlinzi mgeniTena kaiweka kabisa manually ili tuone kuwa ana iPhone. Mi natumia TECNO kweli nimwongezee mafuta mtu mwenye iPhone? Ngumu kumeza [emoji16][emoji16][emoji16]
Jikakamue tu udandie mazungumzo hata kama hayakuhusu. Ukisubiri kukaribishwa utakesha [emoji16][emoji16][emoji16]
Vile vile ulivyoiweka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]mkuu nifundishe natoaje isionekane sasa
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umetisha sana yani umeaangalia porn mpaka wanakuitia polisi hahahahaha
Hahaha kama unanitunuku vyeo sawa mkuu. Nitatumikia kwa hali la mali.Ila nimesha jua siri ya mchezo, kuanzia leo nakupa unahodha wa kilinge hiki maana HB wa kigogo ulishamshinda Beberu Mwitu nahisi kaoa sijui yupo fungate basi nakupa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile vile ulivyoiweka [emoji16][emoji16][emoji16]
Nenda kwenye settings halafu signature. Unaweza kuturn off au kuweka ujumbe unaotaka...
bado bado .....
mamaaaa 😂😂😂😂
Ngoja nijaribu kukuamsha [emoji16][emoji16][emoji16]