Tairus
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 676
- 1,057
Wewe sio dume kweli?Mambo zenu hii niweekend tuchartini Nakujuzana mambo mengi yakuelimisha utani na mambo kadhalika tu.
Wewe nenda PM mimi anipe whatsapp number
akikuambia nambieHaya niambie
watu mnamaneno jamani daahLoooh! Nilidhani nijinsia pinzaninijaribu bahati yangu. Maana hata mie leo nina hamu ya kupiga soga mpaka kuchee na hivi kesho ni sikukuu!
mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mamboHuu ni ushahidi mwingine kuwa watanzania wa kawaida wanakula na kushindia vitunguu swaumu.
Siku gani ulidhani mi ni me au ke ??Loooh! Nilidhani ni jinsia pinzani nijaribu bahati yangu. Maana hata mie leo nina hamu ya kupiga soga mpaka kuchee na hivi kesho ni sikukuu!
Nilidhani we ni MESiku gani ulidhani mi ni me au ke ??
Form 1