JamiiForums Usiku wa manane
tapatalk_1546859038408~2.jpeg


fc9df4a7-cf87-4099-955f-d5be58730fb7.jpeg
 
Acha kunitisha nilikuwa sina mpango wa kusali,kwa lugha nyingi umenikumbusha kusali.
Sali. Waya mmoja tu ukikatika ni all the way down. Usafiri wa haraka na salama lakini wa hovyo sana likitokea la kutokea...

Nakutakia safari njema mkuu na Hongera sana kwa kupanda ndege. Sisi wengine hiyo bahati sijui tutaipata lini....
 
Back
Top Bottom