Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,507
- 5,736
Pia utaniambia na mimiakikuambia nambie
Pia utaniambia na mimiakikuambia nambie
Mambo ya kizamani ni yapi?Tuchartini hata mambo ya zamani vichekesho usipende kuwa alone
Vituko vya shule na mengineMambo ya kizamani ni yapi?
Wewe naye kakimeo kajf ujue..Mambo zenu hii niweekend tuchartini Nakujuzana mambo mengi yakuelimisha utani na mambo kadhalika tu.
Embu vilete hapa tusogeze masaaVituko vya shule na mengine
Tatizo lako wewe nikashetani ambako kako kuzimu saa yeyote unaibukaga tu unakuja duniani sinaga time na vibwengo mimi tena ushindwe ulegee kauzu wewe.
Nipo mwaya kuna kakibwengo kameniibukia ndio nilikuwa na mwombea kapoteeUmepotelea wapi?
Unachura? Na hips za Kabila la Warangi au wanyaturu?Mambo zenu hii niweekend tuchartini Nakujuzana mambo mengi yakuelimisha utani na mambo kadhalika tu.
Wanyakyusa
Loooh! Nilidhani ni jinsia pinzani nijaribu bahati yangu. Maana hata mie leo nina hamu ya kupiga soga mpaka kuchee na hivi kesho ni sikukuu!


waeza kuja kwang tuwike mpaka adubuhiHa ha ha.. Siku moja moja sio mbaya kaka!Mkuu... for the first time, leo ndipo nimeona ukifanya maskhara
nakaziaUzi wako ungeattach na namba yako ya simu
😎Nipo mwaya kuna kakibwengo kameniibukia ndio nilikuwa na mwombea kapotee
Hahahahnakazia
Umebadili jina tenamambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
ni ndo unasemaga hivi au nimedesa mzee wa vitunguu swaumu
Powa
hahahahaaa ndo alichokuambia hiki??Umebadili jina tena